Tunazalisha na kuuza unga wa Mahindi wa Sembe na Dona katika ujazo wa Kilo 5 and kilo 25.
Kwa Mahitaji yako ya bei ya Jumla na Rejereja, unakaribishwa, tupo Boko Msikitini, karibu na chuo cha uuguzi, Excellent Collage, Domi House.
Bei zetu ni Tshs 18,000/= kwa mfuko wa Kilo 25, lakini mazungumzo yapo kama unachukua mifuko mingi. Kwa Kilo 5 bei zetu ni Tshs 3,500/= kwa mfuko kama unachukua mifuko 500; Tshs 3,600/= kwa mfuko kama unachukua mifuko 300; Tshs 3,700/= kwa mfuko kama unachukua mifuko 100-299 na Tshs 3,800/= kwa mfuko kama unachukua mifuko 50-99.
Piga simu No +255 752 786 705, Karibu sana