0

Ignite Business Clinic | Business workshops

Spread the love

#Uhuru wa Kiuchumi

Ni muhimu kutambua kuwa mtaji sio pesa pekee, ni vyote ulivonavyo pamoja na elimu, mtandao, tabia na mitazamo yako.

Ungana nasi katika mafunzo ya pili ya IBC trh 18.01.2020 pale Hekima Garden, Mikocheni ambapo tutajikita katika kuoanisha vipaji vyako na fursa zilizopo sokoni na pia utapata Mshauri Binafsi wa mambo ya Kifedha, Upembuzi na Ushauri wa biashara yako kutoka kwa mchumi wa zaidi ya miaka 20 BOT(Bi Devotha Minzi), Mikopo ya kibiashara na ya kibinafsi kutoka kampuni ya KFinance, Chakula nakadhalika

Jiunge sasa kwa kubonyeza link ifwatayo

https://forms.gle/XvJpxS4dNyVXKi3D8

au tupigie 0739 799 115

(tazama picha kwa maelezo zaidi)

Follow us on our social accounts:

Leave a Reply

Specify Facebook App ID and Secret in Super Socializer > Social Login section in admin panel for Facebook Login to work

Specify Twitter Consumer Key and Secret in Super Socializer > Social Login section in admin panel for Twitter Login to work

Specify LinkedIn Client ID and Secret in Super Socializer > Social Login section in admin panel for LinkedIn Login to work

Specify Google Client ID and Secret in Super Socializer > Social Login section in admin panel for Google Login to work

Specify Instagram App ID and Instagram App Secret in Super Socializer > Social Login section in admin panel for Instagram Login to work

Specify Yahoo Client ID and Secret in Super Socializer > Social Login section in admin panel for Yahoo Login to work