Ihsan-Islamic-Secondary-School-Form-I-Admissions
0

Karibu Kidato cha I – 2021 | Secondary School Admissions

Spread the love

Ihsan-Islamic-Secondary-School-Form-I-Admissions

“Kwa Elimu na Malezi, Ihsan ni Chaguo Bora kwa Mtoto Wako”

Karibu Tukuhudumie.

IHSAN ISLAMIC SECONDARY SCHOOL ni shule ya Kiislam ya bweni. Inachukua wanafunzi wa Kike na Kiume.

Namba ya usajili wa Wizara ya elimu ni S.4962

Namba ya usajili ya kituo cha mtihani (NECTA) ni S.5530

Wazazi/Walezi Mnakaribishwa Kuwaleta Watoto wenu kujiunga na kidato cha kwanza kwanza kwa mwaka wa masomo 2021.

Usaili Utafanyika:-

  • Tarehe: 19.09.2020 na kila jumamosi zote zinazofuata baada ya mtihani wa usaili wa kwanza.
  • Mahali: Shuleni Kigamboni, Dar es Salaam.
  • Muda: Kuanzia Saa Mbili Kamili Asubuhi.

Wazazi/walezi msichelewe wakati ni huu. Fomu za usaili zinapatikana Shuleni, katika tovuti ya shule na pia unaweza kutumiwa/kuletewa mahali ulipo.

Shule ipo: Mtaa wa Ukooni, Kata ya Kisarawe II, Wilaya ya Kigamboni, Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania.

Piga simu: +255 715 299 945

au tembelea tovuti yetu hapa

More from this category

Follow us on our social accounts:

Leave a Reply

Specify Google Client ID and Secret in Super Socializer > Social Login section in admin panel for Google Login to work