0

Okoa muda – Tumia App ya SkyMkoba | Accounting

Hifadhi kumbukumbu za mapato na Matumizi

Maelezo ya App ambayo yatatumika ni haya, yanatakiwa kuwa kwa lugha ya Kiswahili kwa ajili ya kurahisisha ulewa kwa watu.

SkyMkoba App kwa ajili ya kuhifadhi kumbukumbu za mapato na matumizi.

Tumia App ya SkyMkoba kurahisisha utunzaji wa kumbukumbu za kifedha, App hii inaweza kutumiwa na makundi mbalimbali:

Mtu binafsi: ni muhimu kutumia katika matumizi yako ya kila siku, hii itakusaidia kujua kiasi cha fedha unayoitumia kama kinalingana na kipato chako.

Mjasiriamali: Kutunza kumbukumbu za fedha katika miradi yako, hata kama una miradi mingi kwa kutumia SkyMkoba utaweza kujua mradi gani unaingiza fedha zaidi katika wiki, mwezi na hata mwaka.

Mfanyabiashara: Kuhifadhi kumbukumbu za mauzo na manunuzi yako, hivyo utaweza kujua faida yako katika sehemu zote za biashara zako.

Taasisi: Kuhifadhi taarifa za kifedha, na hivyo management itaweza kujua mzunguko wakifedha ndani ya taasisi.

Vikundi vya kukuopeshana na kuchangiana (VICOBA): kuongeza uaminifu na uwazi katika kikundi, kwani kila mwanakikundi atakuwa anaona kila fedha inayoingia na kutoka kwenye kikundi.

Kupakua App hii bofya hapa

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.a2daysky.wallet

Au tembelea www.skymkoba.com

Kwa msada zaidi wasiliana nasi kwa namba 0787847805

 

Follow us on our social accounts:
Tags:

Leave a Reply