Anitha Pallangyo celebrates Customer Service Week

Anitha Micah Pallangyo
Marketing and Communication Manager
I&M Bank

Customer Service Week Celebration continues….

Anitha Micah Pallangyo
Marketing and Communication Manager
I&M Bank

“Timu ya Idara ya Masoko ya Benki ya I&M Tanzania ikiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu Bw. Baseer Mohammed (wa nne kushoto) pamoja na Mkuu wa Idara ya Wateja wa Rejareja Bi. Lilian Mtali, Bi. Anitha Pallangyo, Meneja Masoko na Mawasiliano na Bi.Debora Mwakyoma Afisa Masoko na Mawasiliano, walipotembelea kituo maarufu cha matangazo Clouds Media kilichopo Mikocheni, jijini Dar es salaam ikiwa ni moja ya mipango ya kuimarisha uhusiano uliopo kati ya benki hiyo na vyombo vya habari. Tunashukuru sana kwa mapokezi mazuri tuliopata kutoka kwa timu ya Clouds Media. @cloudsmediatz @cloudsfmtz @cloudstv

Follow us on our social accounts:
Verified by ExactMetrics