Yemeni food: Kaa Mkao wa Kula!
Yemeni food
Habibi ni kama tupo Yemen vile, na wapishi wetu waliobobea kindaki ndaki jikoni.
Karibu uonje ladha ya kipekee iliopikwa na wapishi bora kabisa kutoka Yemen…..
Tumekuandalia Mandi Kuku/ Mbuzi/Samaki na madiko diko mengine ya kila aina kwa bei chee!
Tupo wazi kuanzia Jumamosi hii tarehe 18/02/2023.
Huduma za delivery zinapatikana.
Unakosaje sasa kisinia chako cha Mandi hapo
Mtaa wa Mkunguni/Living stone Kariakoo.
Kwa maelezo zaidi call: 0756120111
Tukutane Yemen Mandi, Karibu sana.
(tazama picha kwa maelezo)
[tg_searchboxes options='{“hotel_city”:””,”cruiseline”:”12″,”length_of_stay”:”1″,”size”:”dynamic”,”alignment”:”aligncenter”}’]
Follow us on our social accounts:

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.