[AdSense-A]
Sasa unaweza kuzidisha faida!
Siku hizi hujulikana wazi kuwa kujua kwa lugha ya kimataifa ndio njia pekee ya kuwania nafasi nzuri za kiuchumi kwani wateja wetu wengi wanapenda kuwasiliana katika lugha ya kimataifa. Kujua kwa kugha hilo na pia kuweza kuongea na kuandika inavyostahili kibiashara huzidisha nafasi zetu za kuendeleza shughuli zetu na pia kwa upande mwingine, kufungua milango za elimu. Jiunge na kozi ya wiki 9 (masaa matatu kila wiki) leo na ubadilishe hali ilivyo. Wasiliana nasi kwa njia ya simu 0755 276750 – East Coast College, ghorofa 3, jengo la Red Cross mpya, makutano ya Br Morogoro na Bibi Titi (Akiba)
Follow us on our social accounts:

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.