Nunua pikipiki inayokupa safari ya uhakika
Pikipiki za Piaggio, yenye asilia ya Italia, zina miaka mirefu za kutengeneza pikipiki zinazotimiza mahitaji ya wasafiri na wakazi katika miji mbalimbali duniani, zikiwemo miji zenye misongamano ya magari kwa wakati wote. Wasiliana nasi kupitia nambari za simu zilizotajwa hapo chini kwa matawi zetu za Dar es Salaam, Mwanza, Iringa, Tanga na Kahama, au kuwatembelea mawaka wetu nchini kote.
Follow us on our social accounts:

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.