• Changizo la ujenzi wa kituo cha mvuto

    Changizo la ujenzi wa kituo cha mvuto

    Kwa pamoja, tunajenga jamii iliyo bora Je wajua Nusu ya wakazi wa Tanzania wana umri chini ya miaka 25, na mmoja kati ya watoto wa 3 wanaozaliwa huishi mjini na waathirika wakubwa wakiwa ni vijana wa kike na kupelekea ukosefu wa ajira, kuongezeka kwa uhalifu, matumizi ya madawa ya kulevya, mimba zisizotarajiwa na magonjwa ya…

    Know More