Changizo la ujenzi wa kituo cha mvuto

Mzizima-Center-of-Influence-Changizo-la-ujenzi-wa-kituo-cha-mvuto

Mzizima-Center-of-Influence-Changizo-la-ujenzi-wa-kituo-cha-mvuto

Kwa pamoja, tunajenga jamii iliyo bora

Je wajua Nusu ya wakazi wa Tanzania wana umri chini ya miaka 25, na mmoja kati ya watoto wa 3 wanaozaliwa huishi mjini na waathirika wakubwa wakiwa ni vijana wa kike na kupelekea ukosefu wa ajira, kuongezeka kwa uhalifu, matumizi ya madawa ya kulevya, mimba zisizotarajiwa na magonjwa ya kuambukizi. ?!

Kwa kuzingatia haya,

Kanisa la Waadventista Wa Sabato Mzizima limeamua kuanzisha kituo cha Mvuto (Mzizima Center of Influence) katikati ya Jiji la Dar Es Salaam kitakachokabiliana na changamoto kama
– Kupambana umasikini na ukosefu wa ajira kupitia mafunzo ya biashara
– Ushauri dhidi ya utumiaji wa madawa ya kulevya na kushinda uraibu, Afya ya uzazi, maambukizi ya VVU,
– Maktaba ya kisasa
– Na mengine mengi.
Ili kufanikisha hayo tunakaribisha kushiriki changizo kwa awamu ya kwanza ili kupata shilingi za kitanzania milioni mia nane (TZS 800,000,000) zitakazowezesha kulipia gharama za awali za Kituo.

Changia Kupitia
MFUKO WA MAJENGO MZIZIMA SDA
Bank ya CRDB
AC 015C005078400

MPESA 0743 690 765 JINA: MZIZIMA CENTRE OF INFLUENCE

“Kwa pamoja Tunajenge jamii iliyo Bora”

Subscribe to our YouTube channel here

Follow us on our social accounts:

Leave a Reply