Business opportunities: 14th to 20th October
Business opportunities:
Kampuni ya GNM Cargo inakuletea fursa ya safari ya kibiashara na kitalii itakayofanyika nchini China ijulikanayo kama “China Business Trip and Fun Walk” Tarehe 14 mpaka 20 Oktoba, 2023.
Lengo la safari hii ni kufungua fursa za kibiashara kwa watanzania ambao wangependa kuanza au kutanua biashara zao toka China lakini hawajui pakuanzia. Pia kufungua fursa za utalii kati ya Tanzania na China
Kwa Mawasiliano Zaidi Tupigie
+255 672 999 995 au +255 754 088 461
WELCOME TO GNM CARGO At GNM Cargo, we are committed to providing our clients around East Africa with reliable, flexible shipping solutions based on expertise gained from over 10 years of existence.
Safari hii itahusisha kutembelea maeneo mbalaimbali kama vile
1. Maonyesho Makubwa ya Kimataifa ya Biashara inchini China yajulikanayo kama Canton Fair
2. Viwanda vikubwa vinavyo zalisha bidhaa zenye fursa za kibiashara kwa soko la Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla
3. Maeneo ya Masoko Makubwa (MACHIMBO) ya bidhaa zenye soko hapa kwetu
Gharama za Usa?ri ni USD 2,550 ambazo zita jumuuisha
- Tiketi ya kwenda na kurudi China (Return Ticket)
- Huduma za Malazi (Accommodation) kwa siku zote za Safari.
- Vingilio katika maeneo ya maonesho ya Biashara na kitalii Mlima BAIYUN
- Usa?ri wa ndani ya China katika Maeneo yote tutakayotembelea
- Malipo ya Visa Ubalozini.
- Wakalimani wa Lugha
Tumia GNM Cargo
Pia kwa wote watakao nunua bidhaa katika Safari hii au wakati ujao, GNM Cargo ina wakaribisha kutumia huduma zake za usa?rishaji mizigo kwani ni kampuni ya kitanzania yenye uzoefu kwa Zaidi ya Miaka 10 sasa katika biashara hizi kati ya China na Africa Mashariki kupitia o?si zake zilizopo China, Uganda, Kenya na Tanzania.
About GNM Cargo
Experienced in East Africa Logistic Services
GNM Cargo commenced business in 2012 and has very strong presence in China for over 10 years. Ever since has been expanding its operations to include Kenya and Uganda. And by doing so, established specialized subsidiaries to serve its customers better and effectively.
- Fastest Delivery
- Secure & Safe
- Affordable Price
- Customer Support
- High Maintenance
- East-Africa based Shipping
Follow us on our social accounts:


Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.