Mafunzo ya Imam Hussain

Awareness

Awareness

Awareness: FREE Health and Eye Camps

Awareness:

From Thursday 25th August to Saturday 27th August 2022, visit the ‘Mafunzo ya Imam Hussain’ Fair at Mnazi Mmoja Grounds.  The event will run from 9 am to 5 pm each day and is open to the whole family and individuals interested in learning about this universal message of peace, liberty, and spirituality.
 
This event has been organised by the Khoja Shia Ithna-Asheri Jamaat, Dar es Salaam for the purpose of spreading awareness and showcasing some of the work being done by members in upholding the lessons taught by Imam Hussain
 

Awareness

Jumuiya Ya Waislamu, Shia Ithanasheri wanakuletea maonyesho makubwa inayoitwa “Mafunzo Ya Imam Hussain”
Tutakua na Kambi ya Afya na Kambi ya Macho BURE.
Huduma hiyo itatolewa siku tatu mfululizo, yaani kuanzia Alhamisi tarehe 25 hadi Jumamosi tarehe 27, Agosti 2022.
Huduma itakuwa ikianza saa 3 asubuhi hadi saa 11 jioni Kila siku!
Maonyesho yatakuwa katika kiwanja ya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.
Njoo na familia nzima, kwani kuna sehemu maalumu ya wakinamama na Watoto.
Pia pata kujua Wa Shia Wamejifunza nini kutoka Nabi Takatifu Mtume Muhammad(s), pamoja na Madili Meema kutoka Mjuku wake ; Imam Hussain (as)
Wote mnakaribishwa!
Imeletewa na Jumuiya ya Waislamu, Khoja Shia Ithanasheri Jamaat Dar es Salaam.

Awareness

 

More in this Category

 

 

(see poster for more details)

[tg_searchboxes options='{“hotel_city”:””,”size”:”160×600″,”alignment”:”aligncenter”}’]

 

Follow us on our social accounts:

Leave a Reply

Verified by ExactMetrics