Sunday, 7th August 2022
Charity Walk:
Kama tulivyowajuza ya kuwa: Katika kuazimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwa @smvtz_official tunakuja na tukio la Dar es salaam Women Charity Walk.
Tunapenda kuwakaribisha katika DAR-ES-SALAAM WOMEN CHARITY WALK itakayofanyika jijini Dar-es-salaam Viwanja vya Farasi.
–
Ni fursa kwa wakazi wote na wasio wakazi pia, kuweza kuchangia zoezi hili litakalofanyika kwa ajili ya kuwasaidia wale wasio na uwezo.
–
Karibuni sana.
–
Hivyo tunatumia fursa hii kuwakaribisha sana kwa kuwapa namna bora na salama ya kujisajili katika tukio hili.
–
Endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa za kina zaidi.
–
@smvtz_official
Tarehe: Jumaplili, 7 Agosti 2022
The Green Grounds, 18 Mkwawa Road, Oysterbay
Sunshine Muslim Volunteers (SMV) is an NGO based in Tanzania for helping the community in health and social-related activities. We treat and take care of mothers and children, we take care of orphans. All these we are doing in the form of charity. We are collaborating with local and international organizations to help our communities’ well-being. We do all these with a sense of humanity and respect the dignity of our clients.
Follow us on our social accounts: