Safari ya Kibiashara nchini China 2024

Business trip

 

Business Trip:

K

ampuni ya GNM Cargo inakuletea fursa ya safari ya kibiashara na kitalii itakayofanyika nchini China ijulikanayo kama “China Business Trip and Fun Walk” Tarehe 24 Aprili had tarehe 3 Mei, 2024.

Lengo la safari hii ni kufungua fursa za kibiashara kwa watanzania ambao wangependa kuanza au kutanua biashara zao toka China lakini hawajui pakuanzia. Pia kufungua fursa za utalii kati ya Tanzania na China

[embedyt] https://www.youtube.com/watch?v=IPY7M4CKCjU[/embedyt]

Safari hii Inajumuisha

Kutembelea Maonyesho Makubwa ya Kimataifa ya Biashara CANTON FAIR Phase 2 na 3 2.

Kutembelea Masoko Makubwa (MACHIMBO) ya bidhaa zenye soko hapa kwetu

Kutembelea Viwanda na masoko ambayo yana bidhaa zisizopatikana kabisa Tanzania ili kujipatia uwakala.

Kutalii kwenye Eneo la BAIYUN Mountain. (Mlima Mweupe)

Kukutana na wafanyabiashara wa China ili kukuza fursa zaidi

Kuondoka 24 Aprili Kurudi 3 Mei

Gharama kuu ni USD 2,600 (Malipo yanaweza kufanyika kwa Shilingi na kwa Awamu)

Gharama zita jumuisha:

1. Tiketi ya Ndege (kwenda na kurudi )

2. Malazi (Bed n Breakfast)

3. Vingilio katika maeneo ya maonesho ya Biashara (Canton Fair) na kitalii Baiyun Mountan.

4. Visa Ubalozini 5. Usafiri Ndani ya China

6. Huduma za Ukalimani na kutembezwa Masokoni.

7. Bima ya Safari

 

Let’s connect

Rental cars Email icon Website icon High protein Yoghurt Google map icon

Kwa Mawasiliano Zaidi, piga +255 754 088 461 au +255 677 089 761

 

Tumia GNM Cargo

Tumia GNM Cargo Pia kwa wote watakao nunua bidhaa katika Safari hii au wakati ujao, GNM Cargo inawakaribisha kutumia huduma zake za usafirishaji mizigo kwani ni kampuni ya kitanzania yenye uzoefu kwa zaidi ya miaka 10 sasa katika biashara hizi kati ya China na Africa Mashariki kupitia ofisi zake zilizopo China, Uganda, Kenya na Tanzania.
https://sokoniadvertiser.com/china-business-trip-fun-walk-business-opportunities/
https://sokoniadvertiser.com/expand-your-business-horizons-and-discover-new-opportunities-business-trip/

 

 

Follow us on our social accounts:

Leave a Reply

Verified by ExactMetrics