Charity Walk
0

Walk to help

Share this:

Charity Walk

Sunday, 7th August 2022

Charity Walk:Charity Walk

Kama tulivyowajuza ya kuwa: Katika kuazimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwa @smvtz_official tunakuja na tukio la Dar es salaam Women Charity Walk.

Tunapenda kuwakaribisha katika DAR-ES-SALAAM WOMEN CHARITY WALK itakayofanyika jijini Dar-es-salaam Viwanja vya Farasi.

Ni fursa kwa wakazi wote na wasio wakazi pia, kuweza kuchangia zoezi hili litakalofanyika kwa ajili ya kuwasaidia wale wasio na uwezo.

Karibuni sana.

Hivyo tunatumia fursa hii kuwakaribisha sana kwa kuwapa namna bora na salama ya kujisajili katika tukio hili.

Endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa za kina zaidi.

@smvtz_official

Tarehe: Jumaplili, 7 Agosti 2022

The Green Grounds, 18 Mkwawa Road, Oysterbay

Sunshine Muslim Volunteers (SMV) is an NGO based in Tanzania for helping the community in health and social-related activities. We treat and take care of mothers and children, we take care of orphans. All these we are doing in the form of charity. We are collaborating with local and international organizations to help our communities’ well-being. We do all these with a sense of humanity and respect the dignity of our clients.

Registration Centres:

Kibo Complex, Tegeta | Shoppers Plaza, Msasani | Kalamu Foundation, Magomeni | Mlimani City | Amina Design, Dar Free Market | Kanzu Point, City Centre | SMV Health Centre, Ilala | Hijab Lounge, Kijitonyama

More in this Category

 

Follow us on our social accounts:

Leave a Reply