Bidhaa bora na za kuaminika
Traffic Signs:
Alama za barabarani hutoa habari pana kwa wanaotumia barabara, ikiwemo kasi stahili na pia habari juu ya maeneo ya maegesho, kugeuza au barabara iliyepinda. Kufuata alama za trafiki husaidia kuhakikisha usalama wa kila mtu barabarani kwa kupunguza hatari ya madereva kukimbilia kwenye magari mengine, watembea kwa miguu, au waendesha baiskeli.
+255 684 44 44 22
Barua pepe: coo@signindustries.co.tz